SIMBA KUWEKA KAMBI MAREKANI MWAKANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

SIMBA KUWEKA KAMBI MAREKANI MWAKANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Gulam Dewji amesema kwamba timu hiyo itakwenda Marekani mwakani kuweka kambi kwa mwaliko ya klabu ya D.C. United ya Washington D.C.
Mo Dewji amesema mwaliko huo ameupata baada ya kukutana na mmoja wa wamiliki wa D.C. United, Jason Levien anayemiliki kwa pamoja na Erick Thohir tangu mwaka 2012 walipoinunua.
"Ilikua ni furaha kukutana na Jason Levien, ambae ni mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya DC United ambayo ina thamani ya dola za kimarekani millioni 700," amesema Mo Dewji na kuongeza;
"Nina furaha kutangaza  ushirikiano mpya kati ya klabu za DC United na Simba. Ifikapo mwaka 2022, klabu ya Simba itasafiri kwenda Marekani kwa ajili ya mazoezi na maandalizi ya msimu mpya, na pia itashiriki katika mashindano ya kimataifa yatakayoandaliwa na klabu ya DC United, ambayo yatahusisha timu za ligi ya MLS na vilabu kutoka Amerika ya Kusini,".


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz