Ronaldo Anavuta Mil. 206 kwa Siku United-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ronaldo Anavuta Mil. 206 kwa Siku United-Michezoni leo

KAMA ulikuwa hufahamu, basi tunaomba tukufahamishe japo tu sehemu ya mkataba wa mkali wa kusakata kabumbu duniani, Cristiano Ronaldo na klabu ya soka ya Manchester United aliyojiunga nayo wiki hii.

 

Mkataba wake ni wa muda wa miaka miwili ambapo atakuwa analipwa mshahara wa Euro 480,000 kwa wiki, kwa Shilingi za Kitanzania mchanguo wake ni kama ifuatavyo;

 

Atakuwa anapiga shilingi bilioni 1.44 kwa wiki, shilingi milioni 206 kwa siku, shilingi milioni 8.6 kwa saa, shilingi 143,000 kwa dakika na shilingi 2,380 kwa sekunde.

The post Ronaldo Anavuta Mil. 206 kwa Siku United appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz