RAIS WA CAF, BILIONEA PATRICE MOTSEPE AKUTANA NA WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MAJALIWA KWA MAZUNGUMZO DODOMA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RAIS WA CAF, BILIONEA PATRICE MOTSEPE AKUTANA NA WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MAJALIWA KWA MAZUNGUMZO DODOMA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amekutana kwa mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Bilionea Patrice Motsepe ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma.
Motsepe, raia wa Afrika Kusini na mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundowns yupo nchini kwa mwaliko wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia na kesho atahudhuria fainali ya Kombe la Kagame kati ya Express ya Uganda na Nyasa Big Bullet ya Malawi Dar es Salaam.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz