Rais Samia Arejea Jijini Dodoma, Akitokea Dar leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Rais Samia Arejea Jijini Dodoma, Akitokea Dar leo-Michezoni leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 08 Agosti, 2021 wakati akitokea Jijini Dar es Salaam katika shughuli za kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Agosti 8, 2021 amewasili jijini Dodomaakitokea Jijini Dar es Salaam katika shughuli za kitaifa.

The post Rais Samia Arejea Jijini Dodoma, Akitokea Dar leo appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz