PSG Bado Wanamuwinda Pogba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

PSG Bado Wanamuwinda Pogba-Michezoni leo

PARIS Saint-Germain bado wanamtazama kwa ukaribu nyota wa Manchester United, Paul Pogba kwa ajili ya kukamilisha usajili wake.
Kwa mujibu wa Sky Sports imeeleza kuwa iliripoti Julai kwamba timu hiyo ya Ufaransa inahitaji kumpata nyota huyo anacheza ndani Ligi Kuu England.

 

PSG inahitaji kupata saini ya Pogba msimu huu kabla ya mkataba wake kuisha ndani ya kikosi hicho. Licha ya kwamba PSG imemtambulisha Lionel Messi kuwa mchezaji wao bado wana nanfasi ya kumpa dili Pogba ikiwa watamhitaji kwa fedha kamili ama kwa mkopo.

The post PSG Bado Wanamuwinda Pogba appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz