Nicole "Ningekuwa Najiuza Ningekuwa Tajiri Sana NATUMIA Dola 800 Kwa Siku" - EDUSPORTSTZ

Latest

Nicole "Ningekuwa Najiuza Ningekuwa Tajiri Sana NATUMIA Dola 800 Kwa Siku"Mrembo mwenye shape yake hapa Africa @nicolejoyberry kupitia interview aliyoifanya na channel ya Millardayo amewatolea povu wale watu wanaodhani yeye anajiuza:

"Wanaotaka kuninunua sidhani kama wanapesa za kunilipa so far....i think hata hapa unanifanyia interview you can see its not more money...I spend over 800 Dollars a day inamaanisha kama najiuza nilipwe that means they have to pay me....kiukweli ningekua najiuza ningekua tajiri sana" - Alisema Nicole


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz