Ni Wikiendi Ya Big Match Kunako EPL Wikiendi Hii-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ni Wikiendi Ya Big Match Kunako EPL Wikiendi Hii-Michezoni leo

Ligi Kuu Soka nchi Uingereza inaendelea kuchanja mbuga, ni wiki ya 3 katika msimu huu wa 2021/22. Burudani ndio kwanza inaanza! Big Match kuipamba wikiendi hii.

 

Ijumaa hii, Nantes watapambana na Lyon kunako Ligue 1 kule nchini Ufaransa. Huu ni mchezo ambao ukiwa ndani ya Meridianbet, unaweza kutengeneza faida kubwa. Ifuate Odds ya 1.85 kwa Lyon wikiendi hii.

 

Macho ya wapenzi wa soka la Ulaya na EPL kwa ujumla yatakuwa pale Etihad Stadium Jumamosi hii. Mchana kweupe, Manchester City kuwaalika Arsenal katika mchezo wa 3 wa EPL. Huu ni mchezo ambao Arsenal anaingia akiwa na machungu ya kupoteza michezo miwili ya EPL huku City akiwa amepoteza mmoja na kushinda mmoja. Yote 9, 10 ni Odds ya 1.24 ambayo wamepewa City ndani ya Meridianbet. Pep Gurdiola vs Mikel Arteta, hii ni vita ya baba dhidi ya mtoto wake.

 

Jumamosi usiku, tutahamia Anfield. Naam!!! Huku utapigwa mchezo kati ya Liverpool vs Chelsea. Huku Mo Salah kule Romelu Lukaku. Timu zote mbili zimeuanza vizuri msimu huu, zimeshakusanya pointi 6 kwenye michezo 2 ya mwanzo, mchezo wa 3 nani kumzidi mwenzake kete? Ifuate Odds ya 2.50 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

Pale Molineux Stadium, Wolverhampton Wanderers kumenyana na Manchester United jumapili hii. Wolves ataingia kwenye mchezo huu akiwa ametoka kupoteza michezo miwili ya awali huku United akiwa ameshinda na kutoka sare mchezo mmoja. Hakika huu ni mchezo wa muhimu wa timu zote mbili, dakika 90 kuamua nani anauchungu zaidi na pointi 3 au wataamua kugawana. Bashiri kupitia Meridianbet na uifuate Odds ya 1.90 kwa United.

Jumatatu hii, tutahamia kwenye LaLiga Santander. Real Zaragoza kuchuana na Cartagena katika mchezo wa 3 kunako ligi hiyo. Ukiwa na nyumba ya mabingwa, huna sababu ya kuufikiria ushindi. Odds ya 2.20 inakusubiri kwa Zaragoza ndani ya Meridianbet.

Ni Msimu Mpya na Vibe Jipya Ndani ya Meridianbet!

 

The post Ni Wikiendi Ya Big Match Kunako EPL Wikiendi Hii appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz