NBA YATOA RATIBA YA KRISIMASI, BUCKS WATAKUWA NYUMBANI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

NBA YATOA RATIBA YA KRISIMASI, BUCKS WATAKUWA NYUMBANI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
RATIBA ya mechi za Krisimasi za NBA imetoka na mabingwa watetezi, Milwaukee Bucks watakuwa nyumbani dhidi ya Boston Celtics.
Mechi nyingine siku hiyo, Atlanta Hawaks watamenyana na New York Knicks, Golden State Warriors watawafuata mabingwa wa Western Conference, Phoenix Suns.
Nao Brooklyn Nets watacheza na Los Angeles Lakers, wakati Denver Nuggets watakwenda kwa Utah Jazz katika mechi ya mwisho siku hiyo.

Ratiba kamili ya msimu mpya NBA itatoka Ijumaa mchana, huku Jumamosi ligi ikirejea kwenye mechi 82 kwa msimu baada ya mechi 72 msimu uliopita kwa sababu ya janga la COVID 19.
Aidha, pia inatarajiwa Toronto Raptors – ambao msimu uliopita walichezea mechi zao Tampa, Florida – wataruhusiwa kucheza nyumbani kwao, Canada msimu huu.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz