Mzee Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mzee Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa-Michezoni leo

MZEE Sunday Mnara, baba mzazi wa Ofisa Habari wa Yanga, Haji Manara ambaye ni ingizo jipya kutoka Simba, amesema kuwa kufungwa kwenye mchezo wa majaribio ni jambo la kawaida kwa kuwa jana kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Zanaco.

 

Amesema kuwa ukweli ni kwamba uongozi wa Yanga unatakiwa kukaa na benchi la ufundi ili kuweza kuongea naye ili waweze kushinda kwa kuwa hawakustahili kushindwa.

 

The post Mzee Manara: Yanga Hatukustahili Kufungwa appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz