MWANARIADHA WA BELARUS ALIYEOGOPA KUREJEA KWAO AWASILI POLAND-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MWANARIADHA WA BELARUS ALIYEOGOPA KUREJEA KWAO AWASILI POLAND-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MWANARIADHA wa Belarus kwenye Olimpiki, Krystsina Tsimanouskaya, aliyekataa kurejea nchini kwake kwa kuhofia usalama wake baada ya kutofautiana na viongozi wake wa timu ya Olimpiki amewasili Warsaw jana usiku ambako atapewa hifadhi.
Binti huyo alipewa visa ya kibindam kufuatia kuondoka kwenye Michezo ya Tokyo baada ya kukwepa kurejeshwa kwao na viongozi wake kufuatia kukaidi agizo la makocha wake kukimbia mbio za wanne wanne mita 400 akisema hajawahi kukimbia kabla.
Kwa mujibu wa video iliyopostiwa na Waziri Mkuu, Mateusz Morawiecki binti huyo alionekana katika Jiji hilo la Poland akiwa na viongozi mbalimbali.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz