Msuva, Samatta Kutua Kambini Wikiendi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Msuva, Samatta Kutua Kambini Wikiendi-Michezoni leo

KOCHA mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars, Kim Poulsen amesema licha ya timu yake kushindwa kupata mchezo wa kirafiki lakini anaamini kuwa maandalizi waliyoyafanya yanatosha kuifanya timu hiyo kufanya vyema katika mchezo wao dhidi ya DR Congo.


Tanzania wakiwa ugenini
wanatarajiwa kucheza mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo utakaofanyika Septemba 2 nchini Congo.

Akizungumza na Championi Ijumaa, kocha Kim alisema kuwa hali ya kikosi chake ipo vizuri japo alihitaji kupata mchezo wa kirafiki jambo ambalo limeshindikana huku akiweka wazi kuwa wana imani ya kufanya vizuri kuelekea mchezo.

 

Kocha huyo amesema, wachezaji Saimon Msuva na Mbwana Samatta wataingia kambini wikiendi hii.“Tumebakiza siku chache kabla ya kwenda Congo kwa ajili ya mechi za Kombe la Dunia, wachezaji wawili wa kimataifa,Simon Msuva na Mbwana Samatta watajiunga kikosini wikiendi hii.

 

“Hali ya kikosi ipo vizuri na wachezaji wameanza mazoezi, nilitamani kuwa na mechi ya kirafiki mwisho wa wiki hii kabla ya kwenda Congo ila imekuwa ngumu hivyo tutaendelea kujiandaa kila wakati kuhakikisha kuwa tunafanya vizuri kuelekea mchezo huo,” alisema kocha huyo.

Stori: Evance Lipocho na Penina Mchomvu

The post Msuva, Samatta Kutua Kambini Wikiendi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz