MO Ampa Maagizo Mazito Gomes-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MO Ampa Maagizo Mazito Gomes-Michezoni leo

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘MO’ amempa maagizo mazito kocha mkuu wa klabu hiyo Mfaransa, Didier Gomes kuhakikisha klabu hiyo inatwaa makombe yote ya ndani ambayo watashiriki na kufika angalau nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Msafara wa mwisho wa Simba uliokuwa nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya kabla msimu ulirejea rasmi jana Jumapili, baada ya kipindi cha wiki tatu za maandalizi.

 

Katika kipindi hiko cha wiki tatu Simba walicheza michezo miwili ya kirafiki dhidi ya FAR Rabat na Olympique Club de Khouribga ambapo michezo yote iliisha kwa sare.

 

Akizungumza na Championi Jumatatu, Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga alisema: “Baada ya kumaliza kambi yetu ya kwanza ya maandalizi ya kabla ya msimu ‘preseason’ kule Morocco na kikosi kurejea hapa nchini, sasa tunajipanga kuwa na kambi ya pili ya nje ya nchi ambayo tutaiweka wazi mpaka kufikia Jumanne.

 

“Nikuhakikishie kuwa tumejizatiti kuhakikisha tunapiga hatua moja zaidi msimu ujao kulinganisha na msimu uliopita katika michuano yote tutakayoshiriki, tayari mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi MO amekutana na kocha mkuu Didier Gomes na kumueleza matamanio yake ya kuhakikisha Simba inatwaa makombe yote ya ndani msimu ujao na kufika angalau nusu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika.”

Joel Thomas, Dar es Salaam

The post MO Ampa Maagizo Mazito Gomes appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz