Mkude, Chikwende Warejea Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Mkude, Chikwende Warejea Simba-Michezoni leo

Mapema tu asubuhi ya leo, Klabu ya Simba imeingia kambini, Ndege-Beach jijini Dar ikiwa na sura za wachezaji ambao hawajaonekana kikosini muda mrefu, Jonas Mkude na Perfect Chikwende.

 

Kupitia ukurasa rasmi wa Simba wameweka picha ya Mkude na kuandika; “Umemkumbuka ? Amerudi…NguvuMoja.”

 

Kwa upande wake, Chikwende hakuonekana kwa muda mrefu, jambo lililozua sintofahamu, lakini ni miongoni mwa wachezaji walioripoti kambini.
CC; @sifaelpaul.

The post Mkude, Chikwende Warejea Simba appeared first on Global Publishers.





Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz