MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA SC, HASSAN BANYAI ALYEKUWA KOCHA WA NJOMBE MJI FC AFARIKI DUNIA LEO DODOMA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA SC, HASSAN BANYAI ALYEKUWA KOCHA WA NJOMBE MJI FC AFARIKI DUNIA LEO DODOMA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KOCHA Hassan Banyai amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospital ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma alikokuwa anapatiwa matibabu ya Malaria. 
Pamoja na kufundisha timu za Njombe Mji, Pamba FC na Geita Gold, enzi zake Banyai alichezea kadhaa za Ligi Kuu zikiwemo Banda Fc ya Mtwara naSimba SC ya Dar es Salaam.
Mungu ampumzishe kwa amani. Amin.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz