MAREKANI YATWAA MEDALI YA DHAHABU MPIRA WA KIKAPU OLIMPIKI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

MAREKANI YATWAA MEDALI YA DHAHABU MPIRA WA KIKAPU OLIMPIKI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MAREKANI imetwaa Medali ya Dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Jijini Tokyo, Japan baada ya kuifunga Ufaransa 87-82, hilo likiwa taji lao la nne mfululizo.
Pongezi kwa Nahodha, Kevin Durant anayetarajiwa kusaini mkataba mpya wa dola za Kimarekani Milioni 198 kuendelea kucheza Brooklyn Nets kwenye NBA kwa kufunga pointi 29 kwenye ushindi huo.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz