Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba-Michezoni leo

BAADA ya Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kuthibitisha timu hiyo kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco, Berkane RBS.

Aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara amesema haya

“Niliiona miguu yako siku ya kwanza nikapagawa na ufundi wako..
Nakumbuka tukiwa Kitwe Zambia,Picha hiyo ya mbele ikatawala Katika mitandao na Magazeti ya kwenu.

Nakumbuka pia wakati tunarudi ukaniambia tutafuzu kwenye mechi ya marudiano, ahhhhh Mwamba ukafunga goli maridadi mno dhidi ya Nkana.

Real friend na Jirani yangu nikutakie kheri nyingi katika maisha mapya Morocco na naamini utafanikiwa 💪🏿

Nani aliniamini nilipokuita Mwamba wa Lusaka August 2018?
Hakika Tanzania ilishuhudia talent murua kwa miaka mitatu na itoshe tu kusema nitakumiss sana my hero !!”- amesema aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.

The post Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz