MAN UNITED YATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

MAN UNITED YATOA SARE 1-1 NA SOUTHAMPTON-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

WENYEJI, Southampton wamelazimishwa sare ya 1-1 na Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. Mary's Jijini Southampton, Hampshire.
Kiungo Mbrazil, Frederico Santos 'Fred' alianza kujifunga dakika ya 30 kuipatia Southampton bao la kuongoza, kabla ya mshambuliaji wa kimataifa wa England, Mason Greenwood kuisawazishia Man United dakika ya 55 akimalizia pasi ya kiungo Mfaransa, Paul Pogba.
Man United inafikisha pointi nne katika mechi ya pili kufuatia ushindi wa 5-1 dhidi ya Leeds United kwenye mchezo wa ufunguzi, wakati Southampton inaokota pointi ya kwanza baada ya kuchapwa 3-1 na Everton wiki iliyopita.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz