Makambo Awatoa Hofu Wananchi – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Makambo Awatoa Hofu Wananchi – Video-Michezoni leo

KLABU ya Yanga jana ilifanya Tamasha lake la Siku ya Wananchi likiambatana na kutambulisha wachezaji wapya baada ya kufanya usajili na kisha kucheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco kutoka Zambia.

 

Mshambuliaji wa Yanga aliyeweka kimiani bao pekee la Yanga, Heritier Makambo amewatoa hofu mashabiki wao kuwa msimu unaokuja utakuwa msimu bora sana kwa upande wao na watachukua makombe.

 

Mtanange huo wa kirafiki ulimalizika huku pilau la Yanga likitiwa tope kwa kuchezea kichapo cha mabao (2-1).

 

The post Makambo Awatoa Hofu Wananchi – Video appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz