Lebron Apigwa Zengwe Tuzo Ya MVP-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Lebron Apigwa Zengwe Tuzo Ya MVP-Michezoni leo

ZENGWE limenza kupigwa juu ya nani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu wa Ligi Kuu ya Kikapu Marekani (NBA), huku staa Lebron James akionekana kupigwa kikumbo.

 

Uchunguzi wa Kampuni ya ESPN umebaini kuwa wajumbe 10 wa kamati ya tuzo hiyo wanawatazama zaidi Kevin Durrant ambaye ni shujaa wa timu ya Taifa ya Marekani na klabu ya Brooklyn Nets.

 

Wengine ni Giannis Antetokounmpo ambaye ameisaidia klabu ya Milwaukee Bucks kuchukua ubingwa wake wa kwanza wa NBA baada ya miaka 50 kupita.Baada ya harakati hizo kumfikia Lebron mwenyewe, inatajwa ameanza kujipigia debe huko twitter na kuna nyakati amekuwa akiandika maneno yenye mafumbo

The post Lebron Apigwa Zengwe Tuzo Ya MVP appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz