Koffi Olomide Kuisimamisha Dar Leo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Koffi Olomide Kuisimamisha Dar Leo-Michezoni leo

MAESTRO wa muziki wa Rhumba barani Afrika, Koffi Olomide au Mopao anatarajia kulisimamisha Jiji la Dar kwa shoo ya kibabe katika Tamasha la Kilele cha Wiki ya Mwananchi.

Koffi aliwasili jana, Jumamosi na kufanya jiji kutikisika kidogo baada ya wale waliokuwa hawaamini kama atakuja, kumshuhudia laivu.

Mopao alitua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam ambapo Msemaji wa Yanga, Haji Manara, alisimamia shoo ya kumpokea.

Muda mfupi baada ya Mopao kutua, wachezaji wa Yanga na Simba waliokuwa wamebaki Morocco nao walitua.

Stori: Sifael Paul 

The post Koffi Olomide Kuisimamisha Dar Leo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz