Koffi Olomide Atua Nchini, Manara Ampokea – Video-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Koffi Olomide Atua Nchini, Manara Ampokea – Video-Michezoni leo

MWANAMUZIKI nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo, Koffi Olomide leo Agosti 28, 2021 ametua nchini  kunogesha kilele cha Wiki ya Wananchi kitakazofanyika kesho Jumapili Agosti 29 katika Uwanja wa Mkapa.

 

Koffi amepokelewa na msemaji wa Yanga, Haji Manara na mashabiki wa timu hiyo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

 

Yanga kupitia wadhamini wao GSM ndio waliomleta Koffi ambaye awali inadaiwa alikuwa aje katika kilele cha watani wao Simba katika Simba Day.

The post Koffi Olomide Atua Nchini, Manara Ampokea – Video appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz