KIUNGO ALIYEWAHI KUCHEZA YANGA, MTIBWA SUGAR, KAGERA SUGAR NA MBEYA CITY AFARIKI DUNIA LEO ARUSHA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KIUNGO ALIYEWAHI KUCHEZA YANGA, MTIBWA SUGAR, KAGERA SUGAR NA MBEYA CITY AFARIKI DUNIA LEO ARUSHA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KIUNGO Babu Ally Seif aliyewahi kuchezea Yanga kwa muda mfupi mwaka 2017 amefariki dunia leo Jijini Arusha baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Taarifa zinasema Babu alikuwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na baada ya hali yake kubadilika ghafla leo alipelekwa hospitali ambako umauti ulimkuta.
Babu Ally aliyechezea Yanga Juni 2017 kwenye michuano ya SportPesa Super Cup chini ya kocha Juma Mwambusi na Nsajigwa Shadrack baada ya Mzambia George Lwandamina kuondoka - lakini akaondoka baada ya mashindano hayo kwenda Mbeya City.


Kisoka aliibukia Morani FC ya Arusha mwaka 2010 kabla ya kwenda Mtibwa Sugar mwaka 2011 ambako alicheza hadi 2013 akaenda JKT Oljoro ya Arusha, 2014 Kagera Sugar hadi 2017 Mbeya City na mara ya mwisho alichezea Lipuli FC hadi inashuka daraja 2019.
Mungu ampumzishe kwa amani Babu Ally Seif.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz