KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video)-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video)-Michezoni leo

LEO Uwanja wa Mkapa ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo kutakuwa na utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na wale ambao walikuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21, hali ipo namna hii wakati huu.

Mwenyekiti wa Yanga Sc, Dr. Mshindo Msolla akiwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Mashabiki wa Yanga wakiendelea na shangwe.


The post KILELE WIKI YA WANANCHI: Uwanja wa Mkapa Walipuka Kwa Shangwe (Picha +Video) appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz