Jesus Moloko Ajazwa Upepo Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Jesus Moloko Ajazwa Upepo Yanga-Michezoni leo

Mkongomani, Jesus Moloko.

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, amemjaza upepo na kumpa sifa nyingi winga mpya wa timu hiyo, Mkongomani, Jesus Moloko akisema anaamini ataliziba pengo la Tuisila Kisinda.

Yanga imemsajili Moloko akitokea AS Vita ya DR Congo kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Kisinda aliyeuzwa hivi karibuni kwenda RS Berkane ya nchini Morocco.

Akizungumza naSpoti Xtra, Mwakalebela alisema kuwa kati ya mawingabora Congo, basi Moloko yupo, hivyo hawana hofu katika msimu ujao.


Mwakalebela alisema kuwa hawajakosea kumsajili wingahuyo huku akiamini kuisaidia timu hiyo katika msimu
ujao ambao wamepanga kubeba makombe yote watakayoshiriki.

“Hatujakosea kumsajili Moloko, kwani tukiwa kambini Morocco nimekuwa nikimfuatilia kwa karibu kwa ajili ya kujua uwezowake.

“Kati ya usajili bora ambao tumeufanya katika msimu huu, basi huu wa Moloko ni mmoja wapo kutokana na kiwango
kikubwa alichonacho.

“Kikubwa anachotakiwa ni kutimiza majukumu yake ya uwanjani kufunga na kutengeneza nafasi kwa wake ili timu ipate matokeo mazuri,” alisema Mwakalebela.

Kwa upande wa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezajiwa GSM, Injinia Hersi Said ambaye alifanikisha usajili wa winga huyo, alisema:

 

“Kwa hakika Moloko ni mchezaji ‘potential’ ni mbadala sahihi wa Kisinda ambaye tumemuuza, kwangu namuona Moloko anakwenda kuwa mara tatu zaidi ya Kisinda kutokana na uwezo alionao.

 

“Jambo la kusubiri ni yeye afanye vizuri akiwa uwanjani, kwa sababu hilo ndiyo jambo la muhimu zaidi ambalo mashabiki wanatakiwa kumuombea.

The post Jesus Moloko Ajazwa Upepo Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz