Irene Paul Amfuata Manara Yanga-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Irene Paul Amfuata Manara Yanga-Michezoni leo

IKIWA ni saa chache baada ya aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara kutangaza kujiunga na Klabu ya Yanga, msanii wa Bongo Movies, Irene Paul ameonyesha kuguswa na jambo hilo na kuamua kuandika haya.

“Kaka yangu @hajismanara…… mimi ni kati ya wale ambao nilipenda mpira kwa sababu yako,yani your personality na jinsi ulivyofanya kazi yako katika sehemu uliyokuwa ndiyo ilinifanya niipende timuπŸ‘ŒπŸ‘Œ

PASSION: Ulisimamia ulichokifanya kwa mapenzi yote,na ulifanikiwa kutengeneza mvuto kwenye mpira kwa baadhi nikiwemo mimi hasa kwa timu uliyokuwa.

Ninaamini katika KUHESHIMU INFLUENCE ya mtu katika kitu,niseme tu hiyo pia ni talanta ambayo sio kila mtu anayo….ITS GOD GIVEN!!!!! It’s about time nguvu yako ambayo ni “PRICELESS” ionekane,ijulikane na IHESHIMIWE maana pesa sio kila kitu.

#youmoveWEmoveπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ “

The post Irene Paul Amfuata Manara Yanga appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz