HISPANIA NA BRAZIL ZATINGA FAINALI YA SOKA OLIMPIKI-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

HISPANIA NA BRAZIL ZATINGA FAINALI YA SOKA OLIMPIKI-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
HISPANIA itamenyana na Brazil kuwania Medali ya Dhahabu ya Olimpiki katika soka Jumamosi, baada ya bao la dakika za nyongeza la Marco Asensio kuwapa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Japan.
Brazil kwa upande wao waliwatoa wapinzani wao wa Amerika, Mexico kwa penalti 4-1 kufuatia sare ya 0-0.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz