CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

CLATOUS CHAMA NA TUISILA KISINDA WOTE KUCHEZA TIMU MOJA MSIMU UJAO, RSB BERKANE YA MOROCCO -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

KIUNGO Mzambia, Clatous Chama na winga Mkongo, Tuisila Kisinda watacheza timu moja msimu ujao, RSB Berkane ya Morocco.
Wawili hao wote wanatokea klabu za Tanzania, Chama SC na Kisinda Yanga SC ambao ni wapinzani wa jadi na wakati wowote klabu hizo zitatangaza rasmi kuwatoa.
Bado Simba ipo kwenye hatua za mwisho pia za kumuuza nyota wake kutoka Msumbiji, Luis Miquissone kwenda Al Ahly ya Misri, wakati kiungo Mkongo wa Yanga, Tonombe Mukoko anaweza kuondoka pia.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz