CHELSEA WATWAA SUPER CUP YA ULAYA BAADA YA KUIPIGA VILLARREAL KWA MATUTA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

CHELSEA WATWAA SUPER CUP YA ULAYA BAADA YA KUIPIGA VILLARREAL KWA MATUTA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MABINGWA wa Ulaya, Chelsea wametwaa taji la UEFA Super Cup baada ya kuwafunga washindi wa Europa League, Villarreal kwa penalti 6-5 kufuatia sare ya 1-1 Uwanja wa Windsor Park Jijini Belfast, Ireland Kaskazini.
Chelsea ilitangulia kwa bao la Hakim Ziyech dakika ya 27, kabla ya Gerard Moreno kuisawazishia Villarreal dakika ya 73.
Kocha Thomas Tuchel akacheza kamari kwa kumuingiza Kepa Arrizabalaga kuchukua nafasi ya kipa Edouard Mendy kwa ajili ya mikwaju ya penalti.
Na Mspaniola huyo akaenda kuokoa mikwaju miwili kuipa The Blues taji la kwanza la Super Cup tangu 1998.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz