Breaking: Karia Aidhinishwa Kuiongoza Tena TFF Miaka Minne-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Breaking: Karia Aidhinishwa Kuiongoza Tena TFF Miaka Minne-Michezoni leo

Wallace Karia leo Agosti 7, 2021 amepitishwa na wajumbe wote 81 kuwa Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF).

 

Karia amepitishwa kwa sababu ni jina lake pekee lililopitishwa katika mchujo wa wagombea ambao walichukua fomu kuwania nafasi hiyo.

 

Wajumbe walikuwa na kazi ya kuidhinisha jina lake leo  katika uchaguzi ambao unafanyika leo Tanga.

 

Kwa mujibu wa ibara ya 19 ya sheria ya uchaguzi ambayo inasema wajumbe watapiga kura za ndiyo au hapana kwa mgombea yeyote ambaye atakuwa peke yake.

 

Mbali na nafasi ya Urais pia kuna nafasi za Wajumbe ambao wapo 17 hawa watapigiwa kura kutokana na kanda zao ambazo wapo.

The post Breaking: Karia Aidhinishwa Kuiongoza Tena TFF Miaka Minne appeared first on Global Publishers.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz