Bondia Yordenis Ugas Amtwanga Manny Pacquiao-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Bondia Yordenis Ugas Amtwanga Manny Pacquiao-Michezoni leo

BONDIA Manny Pacquiao amepoteza pambano dhidi ya Bondia Yordenis Ugas aliyechukua nafasi ya Errol Spence Jr, kwa tofuti ya alama kwenye pambano la mkanda wa uzito wa juu wa WBA ‘super’ middleweight.

Manny Pacquiao raia wa Ufilipino alipoteza pambano hilo kupitia uamuzi wa alama katika pambano ambalo linatajwa huenda likawa la mwisho la bondia huyo mwenye umri wa miaka 42.

Ugas raia wa Cuba mwenye umri wa miaka 35 alitumia vizuri fursa aliyoipata baada ya kuumia kwa Errol Spence Jr na yeye kupewa nafasi ya kua mpinzani wa Pacquiao.

Licha ya kurusha makonde machache kuliko Pacquiao, lakini mapigo ya Ugas yalikuwa sahihi zaidi na yenye ufanisi katika kujikusanyia alama nyingi muhimu. 

Majaji wawili walimpa Ugas alama 116 kwa 112 za Pacquiao, na Jaji wa tatu alitoa alama 115 kwa Ugas, na 113 kwa Pacquiao.

The post Bondia Yordenis Ugas Amtwanga Manny Pacquiao appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz