AZAM FC YAZINDUA NEMBO MPYA LEO HOTELI YA SERENA KATIKA SHUGHULI ILIYOHUDHURIWA NA WAZIRI WA MICHEZO NA VIONGOZI WA TFF-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AZAM FC YAZINDUA NEMBO MPYA LEO HOTELI YA SERENA KATIKA SHUGHULI ILIYOHUDHURIWA NA WAZIRI WA MICHEZO NA VIONGOZI WA TFF-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 KLABU ya Azam FC leo imezindua nembo mpya itakayoanza kutumika mara moja na kuachana na ya zamani iliyokuwa inatumika tangu kuanzishwa kwa timu mwaka 2004.
Zoezi hilo limefanyika leo katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa.
Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdukarim Amin 'Popat' amesema kwamba nembo ni kitu muhimu katika utambulisho wa taasisi yoyote.
"Inavutia watu kukufuatilia kwa umakini na kwa ukaribu zaidi. Husaidia kutengeneza ushawishi wa haraka kwa mtu anayeiona kwa mara kwanza. Ni msingi mkuu wa utambulisho wa jina chapa,".


"Huitenganisha taasisi na washindani wake kibiashara. Hutengeneza uaminifu wa chapa kwa wafuasi wake," amesema.
Popat amesema Azam kama klabu wamezingatia yote hayo katika kufikia maamuzi ya kuja na nembo hiyo mpya.
"Wakati tukiwa katika mradi mpya kuelekea msimu mpya na misimu mingine mbele, ni matarajio yetu nembi hii itatusadia kutujengea taswira mpya na matumaini mapya," ameongeza Popat.

Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz