AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0 -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AUBAMEYANG APIGA HAT TRICK, ARSENAL YAUA 6-0 -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB

TIMU ya Arsenal usiku wa Jumatano imekonga nyoyo za mashabiki wake baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya wenyeji, West Bromwich Albion kwenye mchezo wa Raundi ya Pili ya Kombe la Ligi England Uwanja wa The Hawthorns.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang matatu dakika ya 17, 45 na 62, Nicolasa Pépé dakika ya 45, Bukayo Saka dakika ya 50 na Alexandre Lacazette dakika ya 69.
Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz