ASTON VILLA YAMSAJILI LEON BAILEY KWA PAUNI MILIONI 30-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ASTON VILLA YAMSAJILI LEON BAILEY KWA PAUNI MILIONI 30-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya Aston Villa imemsajili mshambuliaji Leon Bailey kutoka Bayer Leverkusen kwa ada ya Pauni Milioni 30.
Mjamaica huyo mwenye umri wa miaka 23 alifunga mabao 15 na assists 11  kwenye mashindano yote akiwa na Leverkusen aliyojiunga nayo Januari 2017 kutoka Genk ya Ubelgiji.
Na Aston Villa inamchukua nyota huyo akazibe pengo la Jack Grealish anayeuzwa kwa dau la Pauni Milioni 100 kwenda Manchester City.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz