ARSENAL YAANZA VIBAYA ENGLAND, YAPIGWA 2-0 NA BRENTFORD-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

ARSENAL YAANZA VIBAYA ENGLAND, YAPIGWA 2-0 NA BRENTFORD-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
ARSENAL imeanza vibaya Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa 2-0 na Brentford FC usiku huu Uwanja wa Brentford Community, Middlesex.
Mabao yaliyoizamisha Arsenal leo yamefungwa na Mspaniola Sergi Canós dakika ya 22 na kiungo mwenzake, Mdenmark Christian Nørgaard dakika ya 73 wakiipa mwanzo mzuri timu hiyo ya London Magharibi ikicheza mechi ya kwanza ya Ligi Kuu baada ya miaka 74.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz