AGUREO HATOANZA KUICHEZEA BARCELONA HADI BAADA YA WIKI 10-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

AGUREO HATOANZA KUICHEZEA BARCELONA HADI BAADA YA WIKI 10-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
MSHAMBULIAJI mpya, Muargentina Sergio Aguero hataanza kuitumikia Barcelona hadi katikati ya Oktoba kutokana na maumivu ya nyuma ya mguu, kigimbi, kitaalamu calf.
Barcelona, ambayo tayari nyota wake mwingine, Muargentina, Lionel Messi anaondoka ilitoa taarifa hiyo baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Juventus kwenye mchezo wa kirafiki juzi.
Aguero mwenye umri wa miaka 33 alisajiliwa Julai kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba Manchester City, ambako alikuwa anasumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara.

Lakini pamoja na maumivu ya mara kwa marah katika misimu yake yote 10 aliyoichezea City bado Aguero ameondoka Etihad na rekodi ya ufungaji bora wa muda wote kwa mabao yake 260.
Amesaini mkataba wa hadi mwishoni mwa msimu wa 2022-23 kwa dola za Kimarekani Milioni 117.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz