Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 3 na Bodi Ya Ligi-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 3 na Bodi Ya Ligi-Michezoni leo

Klabu ya Yanga leo Julai 8, 2021 imetozwa faini ya Shilingi Milioni 3 kwa kufanya makosa kwenye mechi dhidi ya Simba SC Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Kutumia mageti ya uwanja wa Uhuru kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu.

° Kutumia mlango wa chumba cha waandishi wa habari badala ya mlango maalum unaotumiwa na timu.

° Kuingia uwanjani kupasha misuli kwa kutumia mlango ambao haukupangwa kutumika kwa namna yoyote.

° Kutumia chumba cha wafanya usafi wa uwanja kubadilisha nguo badala ya chumba maalum cha kubadilishia nguo.

Na pia klabu ya Yanga inatakiwa kulipa Shilingi laki nane na nusu (850,000) ikiwa gharama ya ukarabati wa mageti yaliyovunjwa wakati wakiingia uwanjani pamoja na makufuli ya uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoharibiwa katika tukio hilo.

The post Yanga Yapigwa Faini ya Milioni 3 na Bodi Ya Ligi appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz