Yanga Yaachana na Lamine Moro-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga Yaachana na Lamine Moro-Michezoni leo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga leo Julai 29, umethibitisha, kuachana na beki wake kisiki na nahodha Lamine Moro ambaye amedumu kwa kipindi cha miaka miwili.

Beki huyo na Uongozi wa Yanga wamekubaliana kusitisha mkataba, aidha uongozi umemshukuru Lamine kwa utumishi wake ndani ya Yanga.

Kwa hali hiyo Lamine hatokuwa sehemu ya kikosi cha mabingwa wa kihistoria msimu ujao wa Ligi na michuano ya Kimataifa ambapo Yanga itawakilisha taifa kwenye ligi ya mabingwa Afrika.

The post Yanga Yaachana na Lamine Moro appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz