UEFA YATAJA KIKOSI BORA CHA EURO 2021 BILA CRISTIANO RONALDO-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

UEFA YATAJA KIKOSI BORA CHA EURO 2021 BILA CRISTIANO RONALDO-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
UEFA imetaja muunganiko wa wachezaji wa kuunda kikosi Bora Euro 2020, lakini ajabu Mfungaji Bora, Cristiano Ronaldo hayumo.
Kutoka England iliyofungwa na Italia katika fainali kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 Jumapili imetoa wachezaji watatu ambao ni Raheem Sterling, Harry Maguire na Kyle Walker.
Kwa upande wao, mabingwa Azzurri wametoa wachezaji watano ambao ni Gianluigi Donnarumma, Leonardo Bonucci, Leonardo Spinazzola, Jorginho na Federico Chiesa.
Timu nyingine zimetoa mchezaji mmoja mmoja ambazo ni Ubelgiji, Romelu Lukaku, Denmark, Pierre Emile-Hojbjerg na Hispania imemtoa Pedri pekee.


KIKOSI CHA UEFA CHA MASHINDANO:
Gianluigi Donnarumma (Italia), Kyle Walker (England), Leonardo Bonucci (Italia), Harry Maguire (England), Leonardo Spinazzola (Italia), Jorginho (Italia), Pierre-Emile Hojbjerg (Denmark), Pedri (Hispania); Federico Chiesa (Italia), Romelu Lukaku (Ubelgiji) na Raheem Sterling (England).Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz