TFF YAAHIDI KUENDELEA KULIPA DENI LA SHULE YA FILBERT BAYI KADIRI ITAKAVYOKUWA IKIPATA FEDHA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TFF YAAHIDI KUENDELEA KULIPA DENI LA SHULE YA FILBERT BAYI KADIRI ITAKAVYOKUWA IKIPATA FEDHA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeahidi kulipa sehemu ya deni iliyobaki la shule ya Filbert Bayi iliyopo Mkuza mkaoni Pwani, Sh. Milioni 76 kadiri itakavyokuwa ikipata fedha.
TFF imekiri kuingia makubaliano ya kutumia shule hiyo inayomilikiwa na mwanariadha maarufu wa zamani wa kimataifa nchi, Filbert Bayi kwa ajili ya mashindano ya vijana kwa gharama za Sh. Milioni 520.
Lakini imesema imefanikiwa kulipa Sh. Milioni 444 na kiasi kilichobaki, Sh. Milioni 76 itaendelea kuzilipa kadiri itakavyokuwa ikipata fedha.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz