TANZANIA YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA SARE YA 1-1 NA UGANDA LEO NCHINI ETHIOPIA -Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

TANZANIA YATINGA NUSU FAINALI MICHUANO YA CECAFA U23 BAADA YA SARE YA 1-1 NA UGANDA LEO NCHINI ETHIOPIA -Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 TANZANIA imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 (CECAFA Challenge U23) baada ya sare ya 1-1 na Uganda leo Uwanja wa Bahir Dar nchini Ethiopia.
Tanzania ilianza kupata bao dakika ya 32 kwa penalti kupitia kwa beki wa kulia, Israel Patrick Mwenda, kabla ya Uganda kusawazisha kupitia kwa Steven Mkwala dakika ya 40.
Kipa wa Tanzania, Metacha Mnata ameibuka shujaa baada ya kuwanyima bao Uganda kwa kuokoa mkwaju wa penalti kipindi cha kwanza katika mchezo huo wa Kundi A.


Tanzania inatinga Nusu Fainali baada ya kukusanya pointi nne kwenye mechi mbili, kufuatia kuichapa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa kundi hilo Jumanne.


Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz