Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd-Michezoni leo

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anaamini kuwa kiungo wake Paul Pogba atasaini mktaba mpya na timu hiyo.


Pogba amebakiza mkataba
wa mwaka mmoja na timu hiyo na amekuwa akielezwa kuwa anaweza kuondoka kwenye timu hiyo mwishoni mwa msimu ujao bure.Kwa sasa staa huyo anawaniwa na klabu ya PSG ya nchini Ufaransa na mwenyewe amekuwa akisema mara kwa mara kuwa anataka kuondoka United.

 

Hata hivyo, baada ya Solskjaer kusaini mkataba mpya na timu hiyo amesema anachotaka kufanya ni kuhakikisha kuwa Pogba atasaini mkataba mpya.

“Mazungumzo yanaendelea kati ya Manchester United na mwakilishi wa Pogba, kumekuwa na mambo mengi sana kuhusu ishu ya Pogba lakini naamini kuwa kila kitu kitakwenda sawa.“Kwangu naamini kuwa Pogba atasaini mkataba mpya wa kubaki hapa, hili ni jambo ambalo naliamini sana.

 

“Nimefurahia sana kipindi chote ambacho nimekaa na Pogba hapa United na yeye mwenyewe anafahamu hilo. Hakika naamini kuwa bado anafurahia kuendelea kufanya kazi nami,” alisema kocha huyo.United tayari wameshakamilisha usajili wa mchezaji mmoja kwenye kipindi hiki cha usajili ambaye ni Jadon Sancho kutoka Borussia Dortmund kwa kitita cha pauni milioni 73.

The post Solskjaer: Pogba Ataisaini Mkataba Man Utd appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz