Smart Gin, Creative Bee Wakabidhi Jezi Walioa, Wasioa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Smart Gin, Creative Bee Wakabidhi Jezi Walioa, Wasioa-Michezoni leo

KAMPUNI ya Euromax wanaotengeneza kinywaji cha Smart Gin na Kampuni ya Creative Bee kwa pamoja wamekabidhi jezi za mchezo wa walioa na wasioa unaotarajia kupigwa kesho Ijumaa kwenye Uwanja wa Chuo cha Ustawi wa Jamii, Dar.

 

Kinywaji cha Smart Gin na Creative Bee ndiyo wamedhamini mchezo huo kwa upande wa vifaa vya michezo kwa wafanyakazi wa Global Group ambao wanaunda timu za Walioa na Wasioa.

Jezi hizo za timu zote mbili zimekabidhiwa leo katika kipindi cha michezo cha Krosi Dongo kinachorushwa mubashara na +255 Global Radio na Global TV Online.

Mwakilishi wa Smart Gin katika tukio hilo, Peter Kinabo alisema kuwa sababu iliowafanya waingie kwenye mchezo huo ni kutaka kutoa sapoti kwa timu ya wasioa kuelekea kwenye mchezo huo.

“Sisi kama Smart Gin katika mchezo huu tumeamua kuwasapoti upande wa walioa na ndiyo tumewaletea jezi ambazo watatumia kwenye mchezo wa kesho Ijumaa pale kwenye mchezo husika.

“Lakini kuhusu Smart Gin ni kinywa chenye kileo na kwa sasa tupo kwenye promosheni boxi jipya ambalo lipo chupa 15 ambalo bei yake ni Sh 27000 na boxi la Sh 54000 ambalo linakaa chupa 30 kwa mawakala wetu wote,” alisema Kinabo.

Kwa upande wa meneja mkuu wa Creative Bee, Bakari Khatibu alisema kuwa wao kama Creative Bee wameamua kuwapendezesha upande wa Wasioa kwa kuwapa jezi kali ambazo zimekamilika kila kitu kuelekea kwenye mchezo huo.

The post Smart Gin, Creative Bee Wakabidhi Jezi Walioa, Wasioa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz