Shabiki Atoa Laki Mbili Atafutiwe Mzee Mpili-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Shabiki Atoa Laki Mbili Atafutiwe Mzee Mpili-Michezoni leo

KAMA masihara vile lakini huo ndio ukweli, baada ya shabiki mmoja mkazi wa Kigoma aliyejitambulisha kwa jina la Ma Beatrice shabiki wa Simba Kutamka wazi kuwa yupo tayari kuolewa na Mzee Mpili.

Shabiki huyo alikuwa anazunguka kila kona akisema kuwa anamtafuta Mzee Mpili ili aweze kuona uwezo wake ambao mara zote amekuwa akijitapa nao, huku akifunguka kuwa kama kweli mzee huyo ni mwamba aje awe naye.

Kwa kuonyesha kuwa yupo serious na jambo hilo, mama huyo alizungumza na Championi Jumatatu na kumtaka mwandishi amsaidie kumtafuta mzee huyo na akifanikiwa atatoa zawadi ya shilingi laki mbili.

“Kaka mimi namtaka Mzee Mpili, yeye si anasema ni mwamba mimi nipo tayari kuwa mke wake ili nione huo umwamba. Nitakupa laki mbili ukiniletea Mzee Mpili hapa,” alisema mama huyo.

ISSA LIPONDA, Dar es Salaam

The post Shabiki Atoa Laki Mbili Atafutiwe Mzee Mpili appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz