SAMATTA AFUNGA BAO MOJA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI FENERBAHCE IKIITANDIKA KASIMPASA 4-1 UTURUKI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

SAMATTA AFUNGA BAO MOJA KATIKA MECHI YA KIRAFIKI FENERBAHCE IKIITANDIKA KASIMPASA 4-1 UTURUKI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
 MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga bao moja klabu yake, Fenerbahçe ikiibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya Kasımpaşa katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Fenerbahçe Can Bartu Tesisleri Jijini Istanbul, Uturuki.
Samatta alifunga bao la pili dakika ya 26, wakati mabao mengine ya Fenerbahce yalifungwa na İrfan Can Kahveci dakika ya 13, Serdar Dursun dakika ya 49 wote kwa penalti na Mert Hakan Yandaş dakika ya 62, wakati la Kasımpaşa alifunga Yusuf Erdoğan dakika ya 41 kwa penalti pia.
Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz