Sababu ya Waamuzi Simba Vs Yanga Kurudiwa Hii Hapa-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Sababu ya Waamuzi Simba Vs Yanga Kurudiwa Hii Hapa-Michezoni leo

KAMATI ya Waamuzi wa Ligi Kuu Bara, imeweka wazi sababu za kurudia majina ya waamuzi waliopangwa kuchezesha mchezo wa Kariakoo unaotarajiwa kupigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

 

Orodha hiyo ambayo iliwekwa wazi juzi na Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB), ilionyesha kuwa waamuzi watakaochezesha mchezo wa kesho ni walewale ambao hapo awali walipangwa kuchezesha mchezo wa Mei 8, mwaka huu kabla ya mchezo huo kuahirishwa.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, Soud Abdi Mohamed, alisema: “Kama Kamati tumeona hakuna haja ya kubadilisha waamuzi ambao walipangwa kuchezesha mchezo uliopangwa kuchezwa Mei 8, mwaka huu kabla ya kuahirishwa kutokana na sababu zilizokuwa zimejitokeza.

Hii ni kwa sababu tayari maandalizi ya mchezo ule yalikuwa tayari yamefanyika, na kukamilika, tunaamini waamuzi waliokuwa wamepangwa watakuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kutimiza majukumu yao kwenye mchezo wa Jumamosi ya Julai 3, mwaka huu.

 

Orodha kamili ya maofisa watakaosimamia mchezo Na. 208 wa Ligi Kuu ya Vodacom (Simba SC vs Young African SC) Julai 3, 2021 ni kama ifuatavyo;Kamisaa wa mchezo – Hosseah Lugano (Lindi) Mwamuzi wa kati – Emmanuel Mwandembwa (Arusha) Mwamuzi msaidizi namba moja – Frank Komba (Dar) Mwamuzi msaidizi namba mbili – Hamdan Saidi (Mtwara) Mwamuzi wa akiba – Ramadhani Kayoko (Dar) Mtathmini wa mwamuzi – Soudy Abdi (Arusha)Afisa mhusika – Jacquiline Kwamwamu (Dar)

STORI: JOEL THOMAS NA CAREEN OSCAR

The post Sababu ya Waamuzi Simba Vs Yanga Kurudiwa Hii Hapa appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz