Ruvu Shooting: Lazima Tuwachape Namungo-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

Ruvu Shooting: Lazima Tuwachape Namungo-Michezoni leo

OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire, amefunguka kuwa, wamejipanga kuchukua pointi tatu dhidi ya Namungo FC katika mchezo wao unaotarajiwa kupigwa Julai 14, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mabatini, Pwani.

 

Ikiwa nafasi ya 10 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Ruvu Shooting imekusanya pointi 38 katika michezo 32, huku ikishinda 10, imepoteza 14 na sare nane.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Bwire alisema maandalizi ya mechi zao mbili zilizosalia yanaendelea vizuri, lakini wamejikita zaidi katika mechi ijayo dhidi ya Namungo.

 

“Maandalizi yanaendelea kama kawaida na tupo tayari kwa mechi muda wowote, tumejipanga kuhakikisha hachomoki mtu katika mechi hizo lazima tuchukue pointi zote dhidi ya wapinzani wetu.

 

“Tunafahamu hakuna mechi rahisi kwenye soka, hivyo ni wazi huu mchezo utakuwa mgumu kwa sababu kila mtu anataka hizo pointi ili iweze kuwa salama kwa upande wake, lakini na sisi kwa upande wetu tumejipanga vizuri sana,” alisema Bwire.

 

Baada ya mchezo huo, Julai 18, mwaka huu, Ruvu Shooting itamaliza msimu uwanja wa nyumbani kwa kucheza dhidi ya Azam.

 

HAWA ABOUBAKHARI, Dar es Salaam

The post Ruvu Shooting: Lazima Tuwachape Namungo appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz