Ratiba Ligi Ya Mabingwa Afrika 2021/22-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba Ligi Ya Mabingwa Afrika 2021/22-Michezoni leo

SHIRIKISHO la mpira wa miguu barani Afrika (CAF), limetangaza ratiba ya kwanza ya mashindano ya vilabu barani Afrika kwa msimu wa 2021/2022. Mashindano yataanza rasmi kwa hatua ya awali mnamo Septemba 10, 2021.

Droo ya nani atakutana na nani katika raundi za awali itafanyika mnamo 15, Agosti 2021.

Dirisha la mataifa kuomba kuandaa fainali za Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho litafunguliwa mnamo Novemba, 2021 huku katika michuano ya msimu wa 2021/22, Tanzania itawakilishwa na Azam FC na Biashara United kwenye Kombe la Shirikisho huku Simba SC na Yanga SC ikiingia kwenye Ligi ya Mabingwa 2021/22.

The post Ratiba Ligi Ya Mabingwa Afrika 2021/22 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz