RAMOS ATUA PSG BAADA YA KUKATAA OFA YA ARSENAL-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest


 

RAMOS ATUA PSG BAADA YA KUKATAA OFA YA ARSENAL-Michezoni leo

Pakua App ya 'EDUSPORTSTZ NEWS' Uweze kufurahia Habari zote za Mapenzi; Udaku, Ajira na Michezo kila siku Ipo Google Playstore, Kwa Ku BONYEZA INSTALL Ili KUIDOWNLOAD Kwenye Simu yako nakutasoma habari zote hata kama hauna MB
KLABU ya Paris Saint-Germain imemsajili beki Sergio Ramos baada ya kuondika Real Madrid kama mchezaji huru kufuatia kumaliza mkataba.
Ramos ameondoka Real Madrid baada ya kumaliza mkataba na pamoja na ofa za klabu kadhaa Ulaya Ikiwemo Arsenal, lakini ameamua kwenda Ufaransa.
Beki huyo mkongwe wa kati amesaini mkataba wa miaka miwili kupiga kazi Parc des Princes na atakuwa akilipwa mshahara wa Pauni Milioni 10.3 kwa msimu ambayo ukiongeza posho itafika Pauni Milioni 13.
Baada ya kusaini mkataba huo, mkongwe huyo wa Hispania akasema; “Nina furaha kujiunga na Paris Saint-Germain,”.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment


 

Je Wajua??Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

Edusportstz