Raja Casablanca Yatwaa Kombe la Shirikisho-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Raja Casablanca Yatwaa Kombe la Shirikisho-Michezoni leo

KLABUya Raja Casablanca ya nchini Morocco, imetwaa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya JS Kabylie ya Algeria usiku wa kuamkia leo huko jijini Cotonou nchini Cameroon.

Mabao ya Raja yalifungwa na washambuliaji wake, Soufiane Rahimi dakika ya 5 na Mkongomani Ben Malango Ngita dakika ya 14, kabla ya Mohammed Zakaria Boulahia kuifungia Kabylie bao la kufutia machozi dakika ya 46.

Baada ya Shirikisho sasa, Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itafuatia Jumamosi ijayo ambayo itazikutanisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na mabingwa watetezi, Al Ahly ya Misri kwenye Uwanja wa Mohamed V Jijini Casablanca, Morocco.

Stori: Sifael Paul

The post Raja Casablanca Yatwaa Kombe la Shirikisho appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz