Rais wa Uefa Akiri Mapungufu Euro 2020-Michezoni leo - EDUSPORTSTZ

Latest

Rais wa Uefa Akiri Mapungufu Euro 2020-Michezoni leo

ZIKIWA  zimesalia saa chache tu kabla ya ile fainali inayosubiriwa ya Euro 2020, Rais wa Shirikisho Soka la  Ulaya, Aleksander Ceferin anasema kuwa, hawatafanya makosa ya kurudia fomati ya mechi tena.

Katika mazungumzo na kipindi kimoja cha televishen, Ceferin anasema kuwa michuano ya mwaka huu imekuwa na mapungufu makubwa hasa kutokuwa na usawa, Hii inatokana na ukweli kuwa baadhi ya timu zinalazimika kusafiri mbali zaidi ya nyingine.

Katika michuano ya Euro 2020, kulikuwa na zaidi ya miji 11 ambayo ilikuwa ikishuhudia timu zaidi ya 24 zikigombania nafasi ya kuwa bingwa wa nchi za ulaya na mpaka sasa ni mbili tu zipo fainali.

Timu hizo mbili ni Uingereza na Italia ambapo fainali yake itapigwa leo saa 4:00 usiku katika Dimba la Wembley.

The post Rais wa Uefa Akiri Mapungufu Euro 2020 appeared first on Global Publishers.Je wajua!!!???

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click 👉👉👇👇👇https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Je Wajua??

Kiwangadoctors ni madaktari ambao wanasifika East Africa na Africa kwa ujumla,Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali za maisha kama,kurudisha mpenzi,kupandishwa cheo,kupata kazi,kupata mimba kwa wale waliokosa,Nguvu za kiume na kushinda michezo ya Batinasibu pia kiwanga Doctors wanatibu mgonjwa sugu kama,Sukari ,Pressure pamoja na stroke.
Wasiliana na kiwanga Doctors kwa number/WhatsApp +254769404965 Au kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com. taarifa zaidi click >>>>https://www.kiwangadoctors.com kwa taarifa zaidi.
Edusportstz